Maun, Botswana
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Maun ni mji wa nne wa Botswana katika Ngamiland East, Wilaya ya North-West . Wakati wa sensa ya mwaka 2022 ulikuwa na wakazi 85,350 [1] Idadi ya wakazi wa kijijini hapa ilikuwa 60,263 kulingana na matokeo ya sensa ya mwaka wa 2011.
Remove ads
Tazama pia
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads