Mayim Bialik

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mayim Bialik
Remove ads

Mayim Chaya Bialik; alizaliwa Desemba 12, 1975) ni mwigizaji, mtangazaji wa kipindi cha michezo, na mwandishi wa Marekani. Kuanzia mwaka 1991 hadi 1995, alicheza kama mhusika mkuu wa NBC sitcom ya Blossom.

Thumb
Bialik in 2018

Kuanzia mwaka 2010 hadi 2019, alicheza kama mwanasayansi wa neva Amy Farrah Fowler kwenye CBS sitcom ya The Big Bang Theory, ambapo aliteuliwa mara nne kwenye tuzo ya Primetime Emmy Award kama mwigizaji bora.

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads