Mazishi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mazishi
Remove ads

Mazishi ni taratibu za kuheshimu na kuzika maiti ya mtu au mabaki yake.

Thumb
Mazishi ya Papa Yohane Paulo II (Kanisa Katoliki).
Thumb
Kuchoma maiti huko Manikarnika Ghat (Uhindu)
Thumb
Kufungua mdomo (Misri ya Kale).
Thumb
Kotsuage (Japan).
Thumb
Mazishi ya mkulima huko Connemara, Ireland, 1870

Taratibu hizo zinategemea dini na mila za wahusika, hivyo zinatofautiana sana[1].

Mara nyingi mazishi yanaendana na sala kwa ajili ya marehemu.

Kama sivyo kuna kumkumbuka na kukumlilia pamoja na kufariji wafiwa.

Mazishi ni ya zamani sana, inawezekana yalikuwepo kabla ya Homo sapiens kutokea, miaka 300,000 iliyopita.[2][2][3]

Remove ads

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads