Mbandaka

ni mji wa bandari katika Mkoa wa Equateur wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, From Wikipedia, the free encyclopedia

Mbandaka
Remove ads

Mbandaka ni kati ya miji mikubwa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Iko kwenye ikweta kando ya mto Kongo.

Thumb
Kituo cha biashara cha Mbandaka, 2008
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...

Idadi ya wakazi ni mnamo 200,000. Mbandaka ni makao makuu ya mkoa wa Équateur.

Mji ulianzishwa na mpelelezi Henry Morton Stanley mwaka 1883 kwa jina la Equateurville. Jina likabadilishwa baadaye kuwa Coquilhatville na tangu mwaka 1966 ni "Mbandaka".

Uvuvi ni sehemu muhimu ya uchumi wa mji. Samaki wanauzwa hasa Kinshasa.

Remove ads

Tazama pia

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads