Mbuni (mmea)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mibuni (Coffea spp.) ni miti au vichaka ambayo matunda yao (buni) huchomwa na kusagwa ili kutengeneza kahawa.
Spishi zinazokuzwa sana ni Mbuni Arabu (Coffea arabica) na Mbuni imara (Coffea canephora). Asili ya spishi ya kwanza ni milima ya Ethiopia na Yemen na asili ya ile ya pili ni Ethiopia.
Inaaminika kuwa asili ya kuchoma buni ni nchini Ethiopia.[1]
Remove ads
Picha
- Maua
- Buni mbichi
- Buni mbivu
- Buni zilizomenywa
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
