Kujizungusha
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kujizungusha ni tendo la gimba lenye kuenda kwa duara kwenye mhimili wake mwenyewe.[1] Mwendo wa kufanya duara kwenye mhimili ulioko nje ya kiolwa huitwa mzunguko.

Mhimili wa kujizungusha

Mhimili wa kujizungusha ni mstari mnyoofu ambako gimba linajizungusha. Kwa mfano, mhimili wa kujizungusha wa gurudumu ni ekseli yake.
Kwa magimba ya angani kama Dunia mhimili wa kujizungusha ni mstari unaopita kwenye ncha mbili za kaskazini na kusini ukipita kitovu cha tungamo yake.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads