Mia moja na moja
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mia moja na moja ni namba inayoandikwa 101 kwa tarakimu za kawaida na CI kwa zile za Kirumi.
Ni namba asilia inayofuata 100 na kutangulia 102.
101 ni namba tasa.
Matumizi
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads