Michael Laudrup

From Wikipedia, the free encyclopedia

Michael Laudrup

Michael Laudrup (alizaliwa 15 Juni 1964) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Denmark. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Denmark.

Thumb

Laudrup ameichezea timu ya taifa ya Denmark tangu mwaka wa 1982. Laudrup alicheza Denmark katika mechi 103, akifunga mabao 35.[1]

Takwimu

[1]

Maelezo zaidi Timu ya Taifa ya Denmark, Mwaka ...
Timu ya Taifa ya Denmark
MwakaMechiMagoli
198232
198345
1984132
198566
1986101
198740
198891
198984
199063
199100
199200
199340
199483
199595
199681
199721
199891
Jumla10335
Funga

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.