Michelle Forbes
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Michelle Renee Forbes Guajardo (amezaliwa tar. 8 Januari 1965 mjini Austin, Texas) [1] ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kazi zake za vipindi vya televisheni kama vile Star Trek: The Next Generation, Homicide: Life on the Street, 24, Battlestar Galactica, In Treatment na Prison Break.
Remove ads
Filamu
Remove ads
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads