Michoro ya miambani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Michoro ya miambani (ing. rock art) ni jina kwa michoro ya aina mbalimbali iliyofanywa na wanadamu kwenye uso wa miamba asilia. Ni aina ya sanaa inayoweza kuwa na umri mkubwa sana.

Wataalamu wa akiolojia hutofautisha kati ya
- Petroglifi (ing. petroglyph) – zinazotokana na kukata nyufa kwenye uso wa mwamba
- Piktografi (ing. pictograph) – zinazotokana na kutumia rangi juu ya mwamba, hasa kwenye michoro ya mapango.
Michoro ya aina hii hupatikana katika mabara yote na nchi nyingi. Mfano mashuhuri ni Michoro ya Kondoa nchini Tanzania.
Inapatikana kwenye uso wa mwamba unaosimama kama ukuta ama kwenye mtelemko mkali wa mlima au ndani ya mapango.
Remove ads
Picha
- Mchoro wa mapango kwenye milima ya Tassili n'Ajjer, Aljeria
- Michoro ya Twyfelfontein, Namibia
- White Lady, Brandsberg, Namibia
Marejeo
Kujisomea
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads