Mimba

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mimba
Remove ads

Mimba ni mtoto wa mamalia ambaye anakua katika tumbo la uzazi la mama yake hadi azaliwe.

Thumb
Mimba ya binadamu wiki 10 hivi iliyotolewa tumboni mwa mama kwa njia ya upasuaji.
Thumb
Mimba ya binadamu ilivyo wiki 12 hivi baada ya kutungwa.

Ukuaji huo unaendelea moja kwa moja, bila kupitia hatua zilizo wazi, ingawa pengine lugha zinatumia misamiati tofauti kadiri ya siku au wiki zilizopita tangu mimba itungwe.

Muda wa ukuaji huo wote ni tofauti kadiri ya spishi husika. Kwa binadamu ni miezi 9 hivi.

Remove ads

Tanbihi

Loading content...

Viungo vya nje

Loading content...
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads