Misratah
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Misratah (pia: Misrata au Misurata) ni mji wa Libya, wa tatu kwa wingi wa wakazi (400,000 mwaka 2019). Kati yao thuluthi mbili ni Waturuki kwa asili.

Unapatikana upande wa magharibi wa nchi. 32°22′39.12″N 15°05′31.26″E
Remove ads
Tazama pia
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Misratah kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads