Mji Haramu

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mji Haramu
Remove ads

Mji Haramu ni mtaa ndani ya mji wa Beijing (China) ni eneo la nyumba za makaisari wa China. Familia za kifalme za Ming na Qing ziliishi humo hadi mapinduzi ya 1911.

Thumb
Dari za mji haramu

Watu raia walikataliwa kuingia kabla ya mapinduzi ya China hivyo jina la "mji haramu" lilipatikana. Nje ya ukuta wa mji haramu uko uwanja wa Tiananmen.

Eneo lake ni 720,000 kuna majengo 800 yenye vyumba 8,886.

Mji Haramu umeandikishwa katika orodha la UNESCO la Urithi wa Dunia.

Remove ads

Picha za Mji Haramu wa Beijing

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads