Mkoa wa Aksaray
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Aksaray ni mkoa wa kati nchini Uturuki. Mkoa huu unapakana na mikoa mingine kama vile Konya kwa upande wa magharibi na kusini yake, Niğde kwa upande wa kusini-mashariki, Nevşehir kwa upande mashariki, na Kırşehir kwa upande wa kaskazini. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 7,626. Mji mkuu wa mkoa huu ni Aksaray.
Remove ads
Wilaya za mkoani hapa
Mkoa wa Aksaray umegawanyika katika wilaya 7 (wilaya kuu imekoozeshwa):
Viungo vya Nje
- Aksaray's official web site
- High Resolution Pictures of the City Ilihifadhiwa 16 Oktoba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Aksaray Weather Forecast Information Ilihifadhiwa 24 Novemba 2005 kwenye Wayback Machine.
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads