Mkoa wa Niğde
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Niğde ni kaji mkoa kadogo kaliopo vijijini mwa sehemu ya kaskaini mwa kanda ya Kati ya Anatolia huko nchini Uturuki. Idadi ya wakazi kwa mwaka wa 2007 ilikuwa 331.677, ambao wengine 100,418 wanaishi katika jiji la Niğde. Mkoa umechukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 7,312. Mikoa ya karibu na mkoa huu ni pamoja na Kayseri, Adana, Mersin, Konya, Aksaray na Nevşehir.
Remove ads
Wilaya za mkoani hapa
Mkoa wa Niğde umegawanyika katika wilaya 6 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya Nje
- Niğde University
- Bor; From Past to the Present Ilihifadhiwa 10 Oktoba 2008 kwenye Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Niğde kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads