Mkoa wa Batman
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Batman (kifupi cha milima ya Bati Raman) ni jina la mkoa uliopo nchini Uturuki, ambao unajulikana sana kwa kuwa na Wakurdi wengi sana[1][2]. Upo mjini kusini-mashariki mwa Anatolia. Mkoa una idadi ya wakazi wapatao 500,000.
Remove ads
Wilaya za mkoani hapa
Mkoa wa Batman umegawanyika katika wilaya 6 (mji mkuu umekoozeshwa):
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads