Mkoa wa Estuaire

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mkoa wa Estuairemap
Remove ads

Estuaire ni moja kati ya mikoa tisa ya nchini Gabon. Mkoa umechukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 20,740. Mji mkuu wa mkoa huu ni Libreville, ambayo pia ndiyo mji mkuu wa nchi. Mkoa umepewa hili kwa ajili ya Mlango wa Mto wa Gabon, ambao ndiyo moyo wa mkoa huu.[1]

Thumb
Estuaire Province

Ukingo wa magharibi mwa Estuaire ni pwani ya Ghuba ya Guinea. Kwa upande wa kaskazini, Estuaire imepakana na Jamhuri ya Guinea ya Ikweta: Mkoa wa Litoral kwa upande wa kaskazini-magharibi, na Mkoa wa Centro Sur kwa upande wa kaskazini-mashariki. Kwa nyumbani, mkoa umepakana na mikoa ifuatayo:

Remove ads

Departments

Thumb
Departments za Estuaire

Estuaire imegawanyika katika departments 5:

0°23′40″N 9°25′45″E

Remove ads

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads