Mkoa wa Manisa

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mkoa wa Manisa
Remove ads

Manisa ni jina la kutaja mkoa uliopo mjini magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mikoa yake ya karibuni ni pamoja na İzmir kwa upande wa magharibi, Aydın kwa upande wa kusini, Denizli kwa upande wa kusini-mashariki mwa nchi, Uşak kwa upande wa mashariki, Kütahya kwa upande wa kaskazini-mashariki, na Balıkesir kwa upande wa kaskazini. Mji mkuu wa moani hapa ni Manisa.

Thumb
Mkoa wa Manisa, Uturuki
Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Manisa nchini Uturuki, Maelezo ...
Remove ads

Wilaya za mkoani hapa

Mkoa wa Manisa umeganyika katika wilaya takriban 16 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads