Mkoa wa Uşak
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Uşak (kutoka Uşşak maanake "wapenzi") ni jina la kutaja mkoa uliopo mjini magharibi mwa nchi ya Uturuki. Umepakana na Manisa kwa upande wa magharibi, Denizli kwa upande wa kusini, Afyon kwa upande wa mashariki, ana Kütahya kwa upande wa kaskazini. Mji wake mkuu ni Uşak. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 5,341 na una idadi ya wakazi wapatao 334,115 (makisio ya 2007). Kwa mwaka wa 2000, idadi ya wakazi wa hapa ilikuwa 322,313.
Remove ads
Wilaya za mkoani hapa
Mkoa wa Uşak umegawanyika katika wilaya 6 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya Nje
- News from Uşak province and 6 districts Ilihifadhiwa 2 Machi 2019 kwenye Wayback Machine.
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads