Mkoa wa Sinop

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mkoa wa Sinop
Remove ads

Sinop ni jina la kutaja mkoa uliopo nchini Uturuki, katika eneo la Bahari Nyeusi. Mji umechukua eneo la kilomita za mrabva zipatazo 5,862. Mikoa inayopakana na mkoa huu ni pamoja na Kastamonu kwa upande wa magharibi, Çorum kwa upande kusini, na Samsun kwa upande wa kusini-mashariki mwa nchi. Mji mkuu wa mkoa huu ni Sinop.

Thumb
Muonekano mji wa Sinop
Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Sinop nchini Uturuki, Maelezo ...
Remove ads

Wilaya za mkoani hapa

Mkoa wa Sinop umegawanyika katika wilaya 9 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Sinop kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads