Mkoa wa Tonkpi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mkoa wa Tonkpi (kwa Kifaransa: Région du Tonkpi) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
auto
Uko katika Magharibi ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Man. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 992,564.
Tonkpi kwa sasa imegawanywa katika Wilaya tano:
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads