Mkoa wa Van

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mkoa wa Van
Remove ads

Van ni jina la mkoa mjini mashariki mwa nchi ya Uturuki, kati ya Ziwa Van na mpaka wa nchi ya Iran. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 19,069 na jumla ya wakazi wapatao 1,012,707 .

Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Van nchini Uturuki, Maelezo ...
Remove ads

Wilaya za mkoani hapa

Mkoa wa Van umegawanyika katika wilaya 12 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje

Ukweli wa haraka
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Van kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads