Van
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Van (Kiarmenia: Վան, Kikurdi: Wan; kutoka Kiarmenia van - kijiji, makazi) ni mji ulipo mjini mashariki mwa nchi ya Uturuki. Huu ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Van, na upo upande wa mashariki mwa pwani ya Ziwa Van.
Mji una idadi ya wakazi wapatao 284,464 (mwaka wa 2005).[1]
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads