Mlima Oldoinyo Orok
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mlima Oldoinyo Orok ni kati ya milima iliyoko katika kaunti ya Kajiado nchini Kenya lakini unaenea hadi Mkoa wa Arusha nchini Tanzania.
Una urefu wa mita 2,548 juu ya usawa wa bahari.
Tazama pia
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mlima Oldoinyo Orok kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads