Mlima Pico
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mlima Pico ni mlima mrefu kuliko yote ya funguvisiwa la Azori, katika bahari ya Atlantiki.

Ni volkeno hai ambayo iko katika kisiwa cha Pico.
Ina urefu wa mita 2,351, hivyo inazidi milima yote ya Ureno..
Marejeo
Tazama pia
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads