Mlima Pollino

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mlima Pollino
Remove ads

Mlima Pollino ni safu ya milima ya Italia Kusini, kati ya mikoa ya Basilicata na Calabria.

Thumb
Mlima Pollino.

Kilele cha juu kipo mita 2167 juu ya usawa wa bahari.

Hifadhi yake ndiyo kubwa kuliko zote nchini na imeorodheshwa na UNESCO kama Urithi wa Dunia.

Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Pollino kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads