Calabria

From Wikipedia, the free encyclopedia

Calabria
Remove ads

Calabria ni mkoa wa Italia. Inaenea katika ncha ya rasi ya Italia katika bahari ya Kati kuelekea kisiwa cha Sicilia.

Thumb
Mbuga ya taifa ya Pollino, Calabria
Thumb
Bendera ya Calabria.
Thumb
Mahali pa Calabria katika Italia.

Mji mkuu wake ni Catanzaro.

Tazama pia

Viungo vya nje


Maelezo zaidi Mikoa ya Italia ...
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Calabria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads