Mlima Satima
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mlima Satima (kutoka Kimasai: Oldoinyo Lesatima, yaani "mlima wa ndama"[1]) ni kilele kirefu zaidi cha milima ya Aberdare nchini Kenya ukiwa na kimo wa mita 4,001 juu ya usawa wa bahari[2][3][4].
Satima ni mlima wa tatu kwa urefu nchini Kenya. Unapatikana katika kaunti ya Nyeri.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads