Mlima Stanley

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mlima Stanley
Remove ads

Mlima Stanley ni mlima katika Afrika ya Kati kwenye mpaka wa Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Thumb

Ni mlima wa Safu ya Ruwenzori.

Una kimo cha mita 5109 juu ya UB.

Tazama pia

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads