Mnavu

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mnavu
Remove ads
Remove ads

Mnavu au mnafu (Solanum nigrum) ni mmea katika familia Solanaceae. Kwa kawaida huu ni mmea wa pori, lakini unapandwa mahali pengi katika Afrika ya Mashariki. Mingi ya mimea ya pori ina sumu, matunda mabichi hasa. Kula kwa beri bichi na mara nyingi majani pia kunaweza kusababisha kifo cha watoto na mifugo. Lakini aina za mnavu zinazopandwa zinaweza kuliwa baada ya kuzipika. Majani huuzwa kwa jina la manavu. Matunda mabivu yanaweza kuliwa kwa kawaida bila kupikwa, aina zenye matunda mekundu au yenye rangi ya machungwa hasa (rangi ya kawaida ni nyeusi).

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi ...

Kuna spishi nyingine, Solanum americanum, ambayo imewasilishwa katika Afrika na ambayo inafanana sana na S. nigrum. Watu wengi hawawezi kulinganua spishi hizi na mbili zote huitwa mnavu. Hata S. americanum hulika.

Remove ads

Picha

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mnavu kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads