Modesti na Amoni
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Modesti na Amoni ni watoto Wakristo wa Misri waliouawa kwa ajili ya imani yao.
Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yao, hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.
Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 12 Februari.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads