Mohamed Amin
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mohamed "Mo" Amin (29 Agosti, 1943 - 23 Novemba, 1996) alikuwa mpiga picha maarufu kutoka Kenya.
Alijulikana kwa kazi zake kuripoti uhaba wa chakula nchini Ethiopia miaka ya 1983–85.[1]
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads