Molibdeni
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Molibdeni (kutoka kigiriki molybdos metali ya risasi) ni elementi na metali ya mpito yenye namba atomia 42 katika mfumo radidia. Uzani atomia ni 95.94. Rangi ya metali tupu ni nyeupe-kifedha.
Ni metali imara na ngumu na kiwango cha kuyeyuka ni juu sana. Kwa sababu hiyo hutumiwa katika aloi za feleji inayotakiwa kuwa na nguvu sana.

![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Molibdeni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads