Momozono

From Wikipedia, the free encyclopedia

Momozono
Remove ads

Momozono (14 Aprili 1741 31 Agosti 1762) alikuwa mfalme mkuu wa 116 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Toohito. Tarehe 9 Juni 1747 alimfuata baba yake, Sakuramachi, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata ni dada yake, Go-Sakuramachi.

Thumb
Mchoro wa Momozono

Angalia pia

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Momozono kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads