Monza

From Wikipedia, the free encyclopedia

Monza
Remove ads

Monza ni mji wa Italia katika mkoa wa Lombardia. Mji upo mita 162 juu ya usawa wa bahari.

Thumb
muonekano wa mji wa Monza
Thumb
ramani ya mji wa Monza
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, kuna wakazi wapatao 120,000 wanaoishi katika mji huu.

Remove ads

Tazama pia

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads