Moroni (Komori)

From Wikipedia, the free encyclopedia

Moroni (Komori)
Remove ads

Moroni (kwa Mwandiko wa Kiarabu: موروني) ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Komori wenye wakazi 60,200.

Ukweli wa haraka Nchi ...
Thumb
Moroni, Komori.
Thumb
Thumb
Mahali pa Moroni kisiwani Ngazija

Mji uko upande wa magharibi wa kisiwa cha Ngazija (Grande Comore). Kuna bandari kwa usafiri kwa meli kwenda visiwa vingine vya Bahari Hindi pia bara la Afrika ya Mashariki pamoja na uwanja wa kimataifa wa ndege.

Anwani ya kijiografia ni 11°45′S 43°12′E.

Remove ads

Historia

Moroni ilikuwa mji mkuu wa Usultani wa Bambao uliokuwa dola lenye kipaumbele kisiwani hadi kuja kwa ukoloni wa Ufaransa.

Tazamia pia

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Moroni (Komori) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads