Wilaya ya Moshi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kwa maana tofauti ya jina hili angalia makala ya maana Moshi

Wilaya ya Moshi ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Kilimanjaro.
Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 466,737. Katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 535,803 [1].
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads