Mr Joel Joseph
Artist Manager From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Joel Vicent Joseph (anajulikana kama Mr Joel Joseph[1]; alizaliwa Arusha, Tanzania, 31 Machi 1985) ni Mwigizaji, Mwandishi, Mwanamuziki na Meneja wa talanta[2][3], kutoka Tanzania. Mr Joel Joseph alisainiwa chini ya studio ya rekodi iitwayo WCB Wasafi ili kumsimamia Harmonize.[4][5][6].
Remove ads
Maisha ya awali na elimu
Joel amezaliwa jijini Arusha, Tanzania tarehe 31 Machi 1985, mahali wazazi wake wamekulia na kuishi. Alihitimu masomo yake ya sekondari mwaka 2005 Marangu Secondary School alienda katika chuo cha uhandisi wa kompyuta kiitwacho New Horizon Institute na kupata shahada yake ya kompyuta. Baadae aliendeleza masomo yake kwa kuchuku kozi mbali mbali kwa kutumia elimu ya mtandaoni ( E- Learning ) na kujichukulia vyeti vya kozi mbali mbali ikiwemo Usimamizi wa ajira kutoka Harvards Business Publishing.
Remove ads
Maisha ya Kimuziki
Mr Joel Joseph[7] alianza muziki akiwa na miaka 21, Alikuwa akijihusisha na kuimba nyimbo za wasanii wengine (Cover Songs) ambapo ilimpelekea kujua kwamba ana uwezo wa kuimba hivyo kutunga nyimbo zake mwenyewe. Mnamo mwaka 2005, Mr. Joel Joseph aliingia kurekodi wimbo wake wa kwanza uitwao SWEET BABY, uliorekodiwa chini ya studio za Grandmaster Records zilizopo jijini Arusha,Tanzania. 2006 alishiriki kutoa wimbo mwingine akiwa katika kundi akitumia jina Nizzo B[8]. Wimbo huo unaitwa "USIKU WA LEO" kazi ambayo imefanya vizuri kwenye "Purebreak Chart" kubwa za Ufaransa.
Remove ads
Kazi yake ya meneja wa talanta
Mnamo mwaka 2018 Mr.Joel Joseph alisainiwa chini ya usimamizi wa studio rekodi iitwayo WCB Wasafi kwa ajili ya kumsimamia mwanamuziki Harmonize katika kazi zake. Moja kati ya mafanikio ya kazi kubwa alizofanya ni kumjenga Harmonize na kuikuza sanaa yake ya muziki. katika kazi zilizoleta mafanikio makubwa moja wapo ilikuwa ni "kwangwaru" ambayo ni kazi ilibadilisha maisha ya mwanamuziki Harmonize kwa upande mkubwa,na hii ilimpa nafasi kubwa sana ya kuwa mmoja wa mameneja hodari wa Talanta Tanzania. kuacha "kwangwaru"" Mr Joel Joseph amezisimamia kazi nyingine zikiwemo "Dm Chick" iliyomshirikisha mwanamuziki wa Ghana "Sarkdie", Atarudi pamoja na Kadamshi. " Kwangwaru iliwezakuchukua nafasi mbali mbali na kushiriki katika tuzo mbali mbali Afrika ikiwemo African Muzik Awards (AFRIMMA). Licha ya kuwafanya kazi na Harmonize , pia Mr Joel ameshawahikufanya kazi na msanii Shetta akiwa kama meneja wake.[8] Mwaka 2018 mwishoni Mr Joel alitangaza rasmi kuacha kufanya kazi Wasafi Classic Baby (WCB) na kuacha kufanya kazi na msanii Harmonize.[9] Kwa mujibu wa BBC[2] ilieleza kuwa Mr puaz alitengana na mwanamuziki huyo kwa sababu ya kutofautiana katika mazingira ya kazi na vile vile kauli.
Vitabu
Filamu
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads