WCB Wasafi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Wasafi Classic Baby (inayojulikana sana kwa ufupi wake: 'WCB'; wakati mwingine inatajwa kama WCB Wasafi)[1][2][3]. ni lebo ya rekodi ya Tanzania iliyoanzishwa na mwanamuziki Diamond Platnumz [4].

Wasanii

WCB Wasafi imesaini idadi ya wasanii kutoka Tanzania ambao wamefanikiwa kupata muziki wao kote barani Afrika na baadhi yao hata wakiteuliwa kwenye tuzo za BET, Tuzo za Muziki za MTV Africa na AFRIMMA[5] MTV Africa Music Awards and AFRIMMA awards [6].

Wafanyakazi

WCB Wasafi ina wafanyakazi 36 na hii ni pamoja na wasanii wote waliosainiwa chini ya lebo hiyo, producer (Laizer, Tuddy Thoma), wapigapicha, wasimamizi wa wasanii (Babu Tale, Sallam SK, Said Fella, Ricardo Momo, Makame Fumbwe, Joseph Oladugba King, Lukamba, Rayvanny, Mbosso, Zuchu, Lava Lava, Queen Darling), wacheza muziki (Dummy Utamu, Mose Iyobo, Zungu, Hbaajuni) na usimamizi mzima. Pamoja na Harmonize kuondoka lakini WCB inaendelea vizuri.

Remove ads

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads