Mrisho Mpoto

Msanii wa Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia

Mrisho Mpoto
Remove ads

Mrisho Mpoto (amezaliwa 27 Oktoba 1978[1]) ni msanii wa muziki wa dansi, sanaa ya jukwaani (theatre performances), mwandishi wa vitabu vya mashairi na hadithi zenye mafunzo, msanii wa ngoma za asili kutoka nchini Tanzania. Anafahamika sana kwa jina lake la utani kama Mjomba au Mpoto. Pia, anafahamika kwa kuimba nyimbo kama vile Salam Zangu Mjomba, Nikipata Nauli, Adela, Chocheeni Kuni, Samahani Wangangu, Mtu Huru, Waite na Njoo Uichukue alizoimba na Banana Zorro, Ismail Kipira, Felly Kano, Nuruel, Linah Sanga, Ditto, Peter Msechu, Diamond Platnums.

Ukweli wa haraka Maelezo ya awali, Jina la kuzaliwa ...
Thumb
Mpoto katika ZIFF

Mrisho Mpoto ni mmoja kati ya waanzilishi wa kundi la muziki la Parapanda, baadae Mpoto Theatre.

Remove ads

Viungo vya nje

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads