Mtangazaji
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mtangazaji ni mtu anayeeneza au kutangaza habari za kitu, kwa mfano: biashara.
Siku hizi anatumia hasa vyombo vya habari kama vile runinga [1]..
Baadhi ya watangazaji wa Tanzania
- Millard Ayo - Amplifaya na Clouds FM
- Farhia Middle - ITV na Radio One.
- Hamis Mandi aka B12 - XXL Clouds FM.
- Raheem Da Prince - The Switch, Times FM.
- Jabir Saleh - The Jump Off, Times FM.
- Sam Misago - Power Jams , EA Radio.
- Bizzo - Show Time; New Chapter, RFA.
- Perfect Crispin - Club 10, Clouds FM.
- Jimmy Jamal - Daladala Beat, Magic FM.
- Maulid Kitenge - ITV na Radio One.
- Falma Almas Nyakanga - Azam.
- Grace Kingarawe - TBC1.
Remove ads
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads