Mto Agwei
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Agwei (pia: Agvei, Agvey) ni korongo linalopatikana magharibi mwa Ethiopia na mashariki mwa Sudan Kusini.

Ni tawimto la mto Pibor linalopokea kwanza maji ya matawimto Abara na Kongkong.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads