Mto Akwayafe

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Mto Akwayafe (pia unafahamika kama Mto Akpakorum) ni mto nchini Nigeria barani Afrika ambao humwaga maji yake katika Ghuba ya Guinea.

Mto huo ni sehemu ya mpaka kati ya nchi ya Kamerun na Nigeria.[1]

Tazama pia

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads