Mto Alu (Uganda)

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Mto Alu (Uganda) unapatikana katika wilaya ya Maracha-Terego, kaskazini mwa Uganda, mpakani mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads