Mto Bahr al-Arab
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bahr al-Arab (pia: Mto Kiir) unapatikana nchini Sudan na kuunda sehemu ya mpaka wake na Sudan Kusini. Una urefu wa kilometa 800.
Unaishia katika Mto Bahr al-Ghazal, tawimto kuu la Nile.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads