Mto Bani

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mto Bani
Remove ads

Mto Bani ni tawimto la mto Niger ukiwa tawimto kubwa zaidi nchini Mali.

Thumb
Teriya Bugu, Mali

Chanzo chake kiko nchini Cote d'Ivoire.

Urefu wake ni km 1100 hivi.

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads