Mto Baro
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Baro unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia, mpakani mwa Sudan Kusini.

Unaungana na mto Pibor kuunda mto Sobat, ambao maji yake yanaingia katika Nile Nyeupe.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads