Mto Birha

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

33°23′00″S 27°19′33″E

Mto Birha ni mto mdogo ambao umetoka sehemu ya kaskazini mwa Eleqolweni, Eastern Cape, Afrika Kusini.

Chanzo cha mto huu ni eneo linaloitwa Begha (kati ya Port Alfred na East London).

Mnamo 1858 meli ya mvuke Madagascar ya Rennie line[1] ilipotea baada ya kugonga matumbawe karibu na chanzo cha mto Birha, majira ya usiku mnano tarehe 3 Desemba. Majaribio kadhaa yalifanyika kuiokoa meli isizame, hata hivyo yalishindikana na kupelekea meli hiyo kuvunjika mnamo tarehe 4 Desemba. Hakuna aliyepoteza uhai.[2][3]

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads