Mto Chelelaibe
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Chelelaibe unapatikana katika kaunti ya Trans-Nzoia, magharibi mwa Kenya (eneo la Bonde la Ufa la Afrika Mashariki).
Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads