Kaunti ya Trans-Nzoia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kaunti ya Trans-Nzoia ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
![]() | Unganisha! Imependekezwa makala hii iunganishwe na Wilaya ya Trans-Nzoia. Ili kupata sababu angalia ukurasa wa majadiliano. Chagua moja kati ya makala ili ibaki (kwa kawaida ile yenye jina sahihi zaidi), ingiza habari kutoka nyingine, ondoa kasoro, hifadhi. Kisha futa makala nyingine. |

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 990,341 katika eneo la km2 2,495.2, msongamano ukiwa hivyo wa watu 397 kwa kilometa mraba[1].
Makao makuu yako Kitale.
Iko katikati ya Mto Nzoia na Mlima Elgon.
Kihistoria, eneo hili limekuwa likikaliwa na Wakalenjin. Baada ya uhuru, mashamba mengi yaliyoachwa na Wazungu yalinunuliwa na watu kutoka makabila mengine ya Kenya.
Remove ads
Utawala
Kaunti ya Trans-Nzoia imegawanyika katika maeneo bunge yafuatayo[2]:
Remove ads
Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [3]
- Trans Nzoia West 202,377
- Trans Nzoia East 229,538
- Kwanza 203,821
- Endebess 111,782
- Kiminini 242,823
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads